Gradueter 2025 WhatsApp Group Link Join
2026-05-04 12:23:00
*✦ GRADUETER 2025 ✦*
_We ni key, sisi ni familia_ 🗝️💫
*🌟 KAULI MBIU:*
_"Tuliohitimu pamoja, tunafurahi pamoja!"_ 🎓💃🕺
*KUHUSU GROUP:* 💬❤️
Karibu Gradueter 2025! Hapa ni jukwaa la kizazi cha 2025. Tunapiga story za kawaida 📖, utani usioisha 😂, mahusiano 💑, mipango ya maisha 🎯, na kila kitu cha kirafiki. Tuko hapa kufurahi 🥳, kusaidiana 🤝, na kujenga urafiki wa kweli. Hakuna unoma, ni vibes tu! ✨
*📜 SHERIA ZA GROUP:*
*1. HESHIMA KWANZA* 🙏
Tuheshimiane kama familia. Matusi 🤬, kejeli za kuumiza, au dharau haziruhusiwi.
*2. UTANI UNA LIMIT* 😜
Tania, cheka, burudika. Lakini ujue ukomo. Usitanie mambo ya ukabila, dini, au mwili wa mtu.
*3. NO SPAM* 🚫📵
Link za matangazo, betting, au picha zisizo na maana kila dakika hapana. Tupekee story za ukweli.
*4. USAMBAZAJI WA TAARIFA* 🤫
Siri za watu zibaki humu. Picha au chat za mtu zisitoe nje ya group bila ruhusa.
*5. MAHUSIANO NI HESHIMA* 💕
Fli
* Report This Group
X